Genesis 37:17

17Yule mtu akajibu, “Wamehama hapa. Nilisikia wakisema, ‘Twende Dothani.’ ”

Kwa hiyo Yusufu akawafuatilia ndugu zake na kuwakuta karibu na Dothani.
Copyright information for SwhKC